Get this song by Mbilia Bel titled Nadina. Marie-Claire Mboyo Moseka, known professionally as M’bilia Bel, is a Congolese singer and songwriter. Dubbed the “Queen of African Rumba” and “Queen Cleopatra”. The song will make your playlist if love good music.
Use the link below to stream and download Nadina by Mbilia Bel.
Lyrics Of Nadina by Mbilia Bel
Jua ni moto Tena ni mwangaza ya dunia Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na udongo Ni uzima wa binadamu
Nadina yooo Nadina yoyo Nadina yooo Nadina yoyo Tuombe mungu baba yoyo Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba Tumsifu mungu baba ee ee Hata mara moja ujuma Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba Tumsifu mungu baba ee ee Hata mara moja ujuma
Samaki nyama, Majani vidudu au dege Ni uzima wa binadamu Vinyanga udongo Kuchoma majani Au vyote unapenda ee Havi semiki Vinyanga udongo Kuchoma majani Au vyote unapenda ee Havi semiki

Nadina yo Nadina mama Rudisha mwili na roho nyuma mama Mimi fasi niko hoi inagonga Yee yee oh Nadina yee yee Unipe mapenzi yako yote ye yee Yee yee oh Nadina yee yee Oh Nadina bibi ee

Nadina yo Nadina mama Rudisha mwili na roho nyuma mama Mimi fasi niko hoi inagonga Yee yee oh Nadina yee yee Unipe mapenzi yako yote ye yee Yee yee oh Nadina yee yee
            DOWNLOAD SONG Naza by Mbilia Bel Mp3 Download Get this song by Mbilia Bel titled Naza. Marie-Claire Mboyo Moseka, known professionally as M’bilia Bel, is a Congolese singer and songwriter. Dubbed the “Queen of African Rumba” and “Queen Cleopatra”. The […]